Habari

Newz: Yesu Okoa Mitaa kumpa shavu Chief Hope,tarehe 22/2/015

Jumapili hii ya tarehe 22/2/015 wanajeshi wa Yesu Okoa mitaa wataungana kwa pamoja kumsindikiza mwanajeshi mwenzao,chief Hope ambapo atakua anazindua wimbo wake wa Amini katika kanisa la God’s kingdom Embassy,maeneo ya kimara suka,kuanzia saa nane mchana na kuendelea.Waimbaji wataokwepo ni pamoja na Rungu la Yesu,SirMbezi,Eka Injili,Magele winner na wanajeshi wengine kutoka YOM.kwa maelezo zaidi piga 0657 044 315

Advertisements
Previous post

xclusive: Umesikia Gospo version ya My number one ya Diamond platinumz?Hii hapa (by Fadhili Bigambo).

Next post

Gospo Video : Kwa Jinsi Ulivyo by John Honore