Habari

NEWZ: YES LORD!! Sio Tamasha la Kukosa.Ni 27 March 2015

Tarehe 27 march 2015,ndani ya kanisa la Word Alive.Sinza Mori Mwimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania John Honore na Doxaz wanakuletea Tamasha la YES LORD,ambalo litahusisha kusifu na kuabudu.Tamasha hilo ambalo halina kiingilio litasindikizwa na waimbaji kama Paul Clement,Jessica BM,Elly Joh n wengineo.Usipange kukosa.

Advertisements
Previous post

NEW GOSPO MUSIC VIDEO: RUTH MKEMWA-NIWEWE

Next post

Newz:Bonny Mwaitege:Niliwahi kuwa Mvuvi,Mlinzi na Mchimba mawe kabla ya Uimbaji.