Habari

NEWZ: WAIMBAJI WA GOSPO KUMUIMBIA KIKWETE.

Bw. Emanuel Ezekiel kutoka Come and See Promoters kupitia ukarasa wake wa facebook,ameweka wazi kuwa wako mbioni kuachia wimbo wa kumpongeza na kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa yote aliyoyafanya akiwa madarakani.Wimbo huo ambao umeimbwa na waimbaji wa Gospo utaambatana na tamasha kubwa kwa ajili ya shughuli hiyo.
Hivi ndivyo alivyoandika Promoter huyo.
comesee

Advertisements
Previous post

NEWZ:DOXAZ MUSIC MANAGEMENT,FUTURE YA MUZIKI WA INJILI TANZANIA.

Next post

OnStage: Christina Shusho akiimba live na Bro. Joshua Mlelwa,CCC Upanga.