Newz: Vurugu za Yesu Okoa mitaa mwaka huu,Mwimbaji mwingine toka YOM Kuachia ngoma Feb. 25/15. - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Newz: Vurugu za Yesu Okoa mitaa mwaka huu,Mwimbaji mwingine toka YOM Kuachia ngoma Feb. 25/15.

Habari

Newz: Vurugu za Yesu Okoa mitaa mwaka huu,Mwimbaji mwingine toka YOM Kuachia ngoma Feb. 25/15.

Baada ya kuachia waraka wa Yom,Ngoma ya rapa wa kike Esta Mbuguni,tamasha la Chief Hope linalokuja tarehe 22/2 bado kambi ya Yesu Okoa mitaa ina mpango wa kutoa vitu vipya,ambapo tarehe 25/02.15 ni zamu ya rappa Eka Injili kuachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Usiniache ambapo amefanya chini ya studio za B soundz na Bokazi Ent.kabla ya hapo Eka ameshafanya ngoma inayokwenda kwa jina la Nimesimama,unaweza kuicheki hapa .

Continue Reading
You may also like...

More in Habari

To Top