Habari

Newz: UZINDUZI WA EDNA KUJA UPO KARIBU KULIKO UNAVYODHANI.

Ile “Waiting Fever” ya uzinduzi wa album ya AMENIFUTA MACHOZI ya mwanadada Edna Kuja inakaribia kupata tiba.Sio mahala pengine bali ni pale Ubungo Plaza,Jumapili ya tarehe 03/05/015 kuanzia saa tisa mchana na kuendelea.Waimbaji wakali kwenye muziki wa Injili watakwepo kumsindikiza.Usikose.

Advertisements
Previous post

OnStage: Rose Muhando alivyowasha moto Ufufuo na Uzima.

Next post

Music Video: Bwana Wangu Usinipe by Julienne Umuruta.