Habari

Newz: Uko Arusha? Usikose Praise Without Measure,1 May 2015

Kwa mkazi wa Arusha fungua mwezi wa tano kwa baraka kwa kuhudhuria tamasha la Praise Without Measure katika viwanja vya ushirika,tarehe 1/5/2015 kuanzia saa kumi na kuendelea kwa kiingilio cha Tsh.5000/= kawaida na Tsh.1000/= VIP,waimbaji kama Paul Clement,Life Changers,martin Guya na MTBC praise team watakwepo kupamba tamasha hilo.

Advertisements
Previous post

Sunday Service: Ujumbe wa jumapili ya leo,22/3/2015.

Next post

Music Video: Double E - Bwana Yesu Anasema na Wewe