Habari

Newz: Tazama behind the scene ya Martha Mwaipaja na Mdogo wake wakishuti project yao mpya.

Martha mwaipaja na Beatrice Mwaipaja,wako katika project ya pamoja ya kurekodi album,tazama baadhi ya picha wakiwa location wakishut moja ya videos kwenye project hiyo.
bts1bts2bts3bts4bts5bts6bts 7bts8bts10

Advertisements
Previous post

NEWZ: CHRISTINA SHUSHO KUACHIA KAZI MPYA.

Next post

Newz: George Silaa apata shavu kwenye "Stop xenophobia music project Africa".