Habari

NEWZ: Rapper Gazuko kusherekea miaka saba tangu aanze uimbaji.

Rapper wa “gospo” Gazuko anayetamba kwa sasa na wimbo wake Yesu ni Bwana amesema yuko mbioni kuachia wimbo kwa ajili ya kuwashukuru watu waliomwezesha kufika alipo,rapper huyo akihojiwa na Kiango online radio alisema mpaka sasa yuko kwenye huduma kwa miaka saba sasa hivyo hana bui kuwashukuru mashabaiki na wadau waliomwezesha.
Tazama mahojiano ya Gazuko na kiango radio

Advertisements
Previous post

NEWZ: SABABU TANO KWANINI HUTAKIWI KUKOSA KWENYE USIKU WA VIPAJI WA YESU OKOA MITAA,IJUMAA HII.

Next post

NEWZ: Martha Mwaipaja Kuuza kazi zake supermarket.