Habari

Newz: Mwimbaji wa Gospo Paul Clement Kuzindua DVD February hii 2015.

Jumapili ya tarehe 22/02/2015 akisindikizwa na waimbaji kama Bomby johson,Elandre na KKKT kijitonyama katika kanisa la Word Alive Sinza kwa uchakavu wa Tsh 5000 tu,mwimbaji Paul Clement atazindua DVD yake inayokwenda kwa jina la ATENDAYE NI MUNGU,kupata tiketi angalia kwenye flyer.

Advertisements
Previous post

Gospo OldSkul: Unaukumbuka wimbo wa Samsoni na Delila wa Kwa Viumbe vyote choir (ULYANKURU)? Huu Hapa.

Next post

Gospo Video: Atosha kisava - Nainua Macho Yangu