Habari

Newz: Msanii wa Gospo kutambulisha Video yake mpya FNL,EATV Kesho.

Rapper mkali wa Gospo,Peter Banzi ameweka wazi kuwa siku ya kesho atakuwa katika kipindi cha Friday night Live akitambulisha video yake mpya “Nasikia kuitwa” aliyomshirikisha mwanamama Neema Lyimo.Peter amesema hayo kupitia account yake ya facebook kuwa atakuwa kwenye Kipindi hicho kinachorushwa katika stesheni ya EATV kuanzia saa nne kamili usiku hadi saa sita usiku kikiendeshwa na Sam Missago.

Advertisements
Previous post

Onstage: Christina Shusho akiperfom Thamani ya Wokovu Wangu Live.

Next post

xclusive: Hivi ndivyo waimbaji wa Gospo walivyomlilia mwimbaji mwenzao aliyefariki jana.