Habari

Newz: Kesho ndio Kesho,Yesu Okoa Mitaa ndani ya Kimara,God’s Kingdom Church.

Bado masaa kadhaa ile siku iliyokuwa ikisubiriwa ya tar. 22/02/15 ambapo wanajeshi wa Yesu Okoa Mitaa,watakuwa wakishawa moto kwenye kanisa la God’s Kingdom,Kimara Suka kwenye tamasha la Yesu okoa Mitaa litakaloambatana na uzinduzi wa ngoma ya Amini ya chief Hope,hii si ya kukosa mwanangu,kwa mawasiliano 0714 153 369.

Advertisements
Previous post

Video: Angel Bernad alivyo perfom kwenye Anniversary ya Lowasa.

Next post

Newz: Je wewe ni Muimbaji wa Nyimbo za Injili,Martha Mwaipaja anakupa fursaa hii hapa...