Habari

Newz: Jeniffa Mgendi ndani ya Album mpya,uzinduzi ni Juni 28.

Mwimbaji mkongwe katika tasnia ya Muziki wa Gospo Tanzania,Bi.Jeniffa Mgendi ameachia album yake mpya inayokwenda kwa jina la Wema ni Akiba ambayo ina nyimbo saba,ambapo kwa sasa yuko kwenye maandalizi ya video za album hiyo na pia anatarajia kuzindua album hiyo juni 28,katika kanisa la DCT,Tabata Shule bila kusahau atakuwa akimshukuru Mungu kutimiza miaka 20 kwenye huduma yake ya uimbaji.
GospoMuziki tutakuwa tukikuhabarisha kila kitachotokea kwenye mchakato wa uzinduzi huo.

Advertisements
Previous post

New Music Video:Felis Mubibya - Sifa Zako Milele

Next post

Breaking News:Muimbaji wa Gospo,Angel Bernad Avishwa pete ya Uchumba.