NEWZ: It’s Official,Video ya ILIKUWA ZAMANI ya Rungu La Yesu Kuachiwa Valentine day. - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

NEWZ: It’s Official,Video ya ILIKUWA ZAMANI ya Rungu La Yesu Kuachiwa Valentine day.

Habari

NEWZ: It’s Official,Video ya ILIKUWA ZAMANI ya Rungu La Yesu Kuachiwa Valentine day.

Baada ya kimya kingi kutanda toka kuachiwa kwa teaser ya video ya wimbo wa Ilikuwa zamani wa rapper Rungu la Yesu,hatimaye director wa kichupa hicho ndugu Alex Joseck ameweka wazi kuwa kitaachiwa siku ya wapendanao A.K.A valentines day.
Video hiyo yenye visa na mikasa ya mapenzi imetengenezwa chini ya kampuni ya Kingdom Entertainment ambapo Director Alex Joseck ndiye muongozaji mkuu.
GospoMuziki.Com tunakuahidi kuwa wa kwanza kuirusha video hiyo mara tu itakaporuka hewani,ila kwa sasa unaweza kuangalia video teaser yake hapo chini.

Continue Reading
You may also like...
Click to comment

Andika maoni hapa kuhusu hii..!

More in Habari

To Top