Newz: Hivi ndivyo uzinduzi wa Victor Mbaga ulivyofana. - Gospo Media
Advertisements
Connect with us

Newz: Hivi ndivyo uzinduzi wa Victor Mbaga ulivyofana.

Habari

Newz: Hivi ndivyo uzinduzi wa Victor Mbaga ulivyofana.

width=”300″ height=”169″ class=”size-medium wp-image-1864″ /> Victor Mbaga akiwa na waimbaji Rose Mutiso(Kenya) na Mary Jane (Moshi)[/caption]Jumapili ya tarehe 12/4/015 katika ukumbi wa Ebenezer,Umoja Hostel jijini Arusha mwimbaji mahiri wa nyimbo za injili Tanzania,Victor Mbaga alizindua rasmi album yake ya CD na DVD inayokwenda kwa jina la “Furaha kuwa na Yesu”.
Victor Mbaga amesema kuwa lengo la uzinduzi huo ni kupata pesa kwa ajili ya kusaidia watoto wenye shida mbalimbali,kununua vyombo vya muziki na kufungua kituo cha kuwasaidia vijana wanaopenda kumwimbia Mungu.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa Bwana D.Mrindoko mmoja wa wafanyabiashara mkubwa akimwakilisha aliyewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania Mh.Fredrick Sumaye.
Fuatilia matukio katika picha.

Mwimbaji Victor Mbaga akiwa anaimba jukwaani.

Mwimbaji Victor Mbaga akiwa anaimba jukwaani.

IMG-20150416-WA0007
Mgeni rasmi akimkabidhi Victor Mbaga mchango wake kwa cheki

Mgeni rasmi akimkabidhi Victor Mbaga mchango wake kwa cheki

Hapa Victor na Mc Sara Mvungi wakiteta jambo.

Hapa Victor na Mc Sara Mvungi wakiteta jambo.

waimbaji Neema Mbise,Faraja Ntaboba na Marry Jane walikwepo kumsapoti Victor.

waimbaji Neema Mbise,Faraja Ntaboba na Marry Jane walikwepo kumsapoti Victor.

Mgeni rasmi akiwa na watumishi wa Mungu.

Mgeni rasmi akiwa na watumishi wa Mungu.

IMG-20150416-WA0020IMG-20150416-WA0024
Victor Mbaga akiwa na waimbaji Rose Mutiso(Kenya) na Mary Jane (Moshi)

Victor Mbaga akiwa na waimbaji Rose Mutiso(Kenya) na Mary Jane (Moshi)

More in Habari

To Top