Habari

NEWZ: ASKOFU GWAJIMA KUTOA KITABU KIPYA.

Kupitia ukarasa wake wa facebook,askofu mkuu wa kanisa la ufufuo na uzima Tanzania,Askofu Josephat gwajima ameweka wazi kuwa kitabu chake kipya kinachokwenda kwa jina la Muache aliyetumwa kipo katika hatua za mwisho za uchapaji,kaa tayari.

Advertisements
Previous post

EVENT:WEEKEND WORSHIP ON 2ND MAY AT CCC,3PM.

Next post

VIDEO: ALPHA & OMEGA by P SPICQ