Music

NEW GOSPO MUSIC VIDEO: RUTH MKEMWA-NIWEWE

Editor's Rating

Video Content 46%
Creativity 52%
Video Quality 50%
Overall Presentation 70%
Wimbo huu wa RUTH MKEMWA-NIWEWE umefanywa kwenye kiwango kizuri cha ubora kutokana na ushawishi wa mvuto wa mandhari na maudhui yaliyotumika katika utengenezaji wa video hii.
54
Advertisements
Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari, muziki wa Injili na Matangazo. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

NEWZ:Edna Kuja kuleta mabadiliko kwenye muziki wa Gospo?

Next post

NEWZ: YES LORD!! Sio Tamasha la Kukosa.Ni 27 March 2015