Audio

Audio: Nelly Music – Wewe

Baada ya kimya cha muda mrefu mwimbaji na mtayaarishaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Arusha Tanzania maarufu kama Nelly Music kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mpya uitwao Wewe.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio ya Kb Music Studio chini ya mikono yake mwenyewe.

“Nyimbo hii ni sehemu ya maamuzi na sadaka yangu kwa Mungu ya kujitoa mimi kumuabudu yeye na kutumika kwake, Kwa mali Akili, Roho, Moyo hata Nafsi, kwa utukufu wake pekee, Hivyo huu ni ukiri kwa njia ya wimbo, Amen.” – Nelly Music

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utabarikiwa kila wakati utakapokuwa unasikiliza, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Nelly Music kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654 033 998
Facebook: NellyMusic Martin  Mugarula
Instagram: @nellymusic_mugarula
Twitter: NellyMusicKb

Advertisements
Previous post

Video | Audio: Rita Sanda – We Adore

Next post

Audio: Kibonge Wa Yesu - Sitoki