Video | Audio: Nelly Music - Ni Wewe Tu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Nelly Music – Ni Wewe Tu

Audio

Video | Audio: Nelly Music – Ni Wewe Tu

Baada ya mwezi Oktoba kuachia wimbo uitwao Wewe kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Nelly Music ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Ni Wewe Tu.

Video hii imeongozwa na studio za KBS, Muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Kingdom Beats.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video ya wimbo huu na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Nelly Music kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654 033 998
Facebook: NellyMusic Martin  Mugarula
Instagram: @nellymusic_mugarula
Twitter: NellyMusicKb

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top