Audio: Neema Mudosa-Umenitoa Mbali - Gospo Media
Connect with us

Audio: Neema Mudosa-Umenitoa Mbali

Audio

Audio: Neema Mudosa-Umenitoa Mbali

Moja kati ya waimbaji wa nyimbo za Injili wanaofanya vizuri katika huduma ya muziki wa Injili nchini Tanzania maarufu kama Neema Mudosa kwa mara ya kwanza katika mwaka 2018 ameachia wimbo wake mpya uitwao Umenitoa Mbali ikiwa ni zawadi yake maalumu katika kuadhimisha kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa tarehe 12 Agosti.

Umenitoa mbali ni wimbo wa shukrani na sifa mbele za Mungu kwa yale ambayo ametenda katika maisha yake na kukiri kuwa Mungu ndiye pekee ambaye amemtoa mbali na kumfikisha hapo alipo.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu utakubariki na kukuinua.Bwana Yesu asifiwe!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Neema Mudosa kupitia
Simu/WhatsApp: +255 654 782 575
Facebook: Neema Guillaine Mudosa
Instagram: @neemamudosa

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

1 Comment

1 Comment

  1. Mulin H. Mulin

    December 18, 2018 at 4:15 am

    Kazi nzuri..

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top