Connect with us

Audio: Neema Mudosa – Futa Machozi

Neema Mudosa - Futa Machozi

Muziki

Audio: Neema Mudosa – Futa Machozi

Neema Mudosa - Futa Machozi

Kutoka jijini Dar es salaam kwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 mwimbaji wa nyimbo za Injili Neema Mudosa ameachia wimbo wake mpya unaoitwa Futa Machozi.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Neema Mudosa kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 654 782 575
Facebook: Neema Mudosa
Instagram: @neemamudosa
Youtube: NeemaMudosa

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top