Connect with us

Video: Neema Gospel Choir – Amani Tanzania

Muziki

Video: Neema Gospel Choir – Amani Tanzania

Kutoka jijini Dar es salaam leo nimekusogezea video nzuri na yenye ujumbe mzuri mno iitwayo Amani Tanzania kutoka kwa Neema Gospel Choir wa kanisa la AIC Chang’ombe. Video ya wimbo huu imeongozwa na director Einxer na muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Masanja Frester’s.

“Amani Tanzania ni wimbo maalumu wa kuombea nchi ya Tanzania idumu katika AMANI NA UPENDO. Jehovah Shalom, Mungu wa amani ya nchi yetu ni wewe, Uilinde nchi yetu utulinde watu wako. Amani yetu, uhuru wetu na haki yetu viko mikononi mwako, Vikipotea, vikitoweka, hakuna tena maisha” – Neema Gospel Choir

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha mwana wa Mungu kutazama video hii njema na kusikiliza ujumbe ulio katika wimbo huu ambao nina imani kubwa kuwa utakwenda kuimarisha nafsi na roho yako juu ya kuiombea nchi ya Tanzania izidi kuwa na amani, upendo na umoja ili Baraka za Mungu daima ziwe na nchi hii ya Tanzania, Ameen.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Neema Gospel Choir kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 766 777 288
Facebook: Neema Gospel Choir
Instagram: @neemagospelchoir
Twittter: @neemagospelchoir
Youtube: Official Neema Gospel Choir

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top