Video | Audio: Natasha Lisimo - Mfalme Yesu - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Natasha Lisimo – Mfalme Yesu

Audio

Video | Audio: Natasha Lisimo – Mfalme Yesu

Akiendelea kufanya vizuri kupitia video iitwayo Mfariji, Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam maarufu kama Natasha Lisimo amekusogezea video yake mpya ya wimbo uitwao Mfalme.

Video hii imeongozwa na director Fahim na George kutoka studio za Rehoboth Pictures, Muziki ukiwa umetayarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za JCI Records.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema na hakika utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Natasha Lisimo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 655 770 007
Facebook: Natasha Tresor Lisimo
Instagram: @natashalisimo
Youtube: Natasha Lisimo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top