Connect with us

Video: Natalia Chase – Breakthrough

Muziki

Video: Natalia Chase – Breakthrough

Natalia Chase - Breakthrough

Kutoka nchini Marekani leo tumekusogezea video ya wimbo uitwao Breakthrough kutoka kwa mwanadada Natalia Chase.

Breakthrough ni moja kati ya nyimbo zinazopatikana kwenye album yake ya kwanza iitwayo More aliyoiachia hivi karibuni.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media Connection:
Facebook: Natalia Chase Music
Instagram: @nataliachasemusic
YouTube: Natalia Chase

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top