Connect with us

Audio: Nandera – Rudi Kwake Yesu

Nandera - Rudi Kwake Yesu

Muziki

Audio: Nandera – Rudi Kwake Yesu

Nandera - Rudi Kwake Yesu

Kutoka nchini Canada kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Nandera.

“Rudi Kwake Yesu ni wimbo wa habari njema nikiwahimiza watu waishio katika dhambi kufanya maamuzi ya kuacha maovu yao na kurudi kwa Bwana wetu Yesu Kristo aliyehai kwa maana uzima wetu upo ndani yake, Wewe ambaye mpaka sasa hujamkabidhi Yesu maisha yako basi fanya maamuzi sasa kwa maana ya Dunia yanakwisha.” – alisema Nandera

Tunaamini wimbo huu utakugusa kwa namna ya pekee na hakika utakwenda kubadilisha maisha yako, Amen.

 

Social Media Connection:
Instagram: @bintiwayesu_01

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

To Top