Video

Video | Audio: Nancy njule – Amenitoa Mbali

Kutoka nchini Kenya leo nimekusogezea video ya wimbo uitwao Amenitoa Mbali kutoka kwa mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Nancy njule, video hii imeongozwa na director mahiri anayefahamika kwa jina la Bakari Ousman kutoka studio Cross life Movement na muziki ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Hope.

Nina hakika utabarikiwa na kuinuliwa kupitia video na wimbo huu wa Sifa kwa Mungu, Ameen.

Download Audio

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Mr. Mike - Milele

Next post

Audio: Paul Payne837 Feat. DJ Victor256 - Nakana