Video | Audio: Nancy Njeri - Everlasting - Gospo Media
Connect with us

Video | Audio: Nancy Njeri – Everlasting

Audio

Video | Audio: Nancy Njeri – Everlasting

Mwimbaji wa nyimbo za Injili kutoka nchini Kenya Nany Njeri tayari ameachia video ya wimbo wake mpya wa sifa uitwao Everlasting.

Video hii imeongozwa na Signature Pictures, Muziki ukiwa umetaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Paul Pablo.

“Ufalme wako ni ufalme wa milele; mamlaka yako yadumu vizazi vyote. Mwenyezi-Mungu ni mwaminifu katika ahadi zake zote, ni mwema katika matendo yake yote.” –  Zaburi 145:13

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii ambayo ni hakika utabarikiwa na wimbo huu wa sifa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Nancy Njeri kupitia:
Simu/WhatsApp: +254 721 847085
Facebook: Nancy Njeri
Instagram: @nancynjeri
Youtube: Nancy Njeri Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top