Video

Music Video | Music Audio: Lukrensia Mlelwa – Karibu Yesu

Mwimbaji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Lukrensia Mlelwa leo ameachia wimbo wake mzuri uitwao Karibu Yesu, video ikiwa imeongozwa na Director Debro Gabriel kutoka studio za Eagle View Pro na wimbo ukiwa umeandaliwa ndani ya studio za Ritha’s Records chini ya mikono ya prodyuza Kingson.

Karibu Yesu ni wimbo unaotukumbusha na kutusihi kumkiri Yesu kuwa ndani ya maisha yetu kwa maana kwake hakuna kinachoshindikana, kwakwe ni salama kwakwe ni amani na uzima.

Nimeuachia wimbo huu ili kuwakumbusha watoto wa Mungu kuwa kumuweka Yesu Kristo karibu ni kufanya maisha yao yawe ya baraka na amani zaidi, naamini wimbo huu utafanyika msaada na kuwa sehemu ya utatuzi wa mapito ambayo mwana wa Mungu anayapitia!.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakwenda kukubariki na kuiinua siku yako ya leo. Mkaribishe Yesu leo naye atafanya maajabu katika maisha yako.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Lukrensia Mlelwa kupitia:-
Simu/WhatsApp: +255 768 107 642
Facebook: Maryluk Mlelwa
Instagram: @mlelwamarry
Youtube: Lukrensia Mlelwa

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio Music: Dona JR. Feat John Lihawa, Sunday Mkweli, Gazuko, Bishop Abra, SirMbezi, Miriam Jackson - Sihitaji Refa

Next post

Music Video | Music Audio: Same OG – Power