Connect with us

Music Video | Audio Music: Pamsam – Asante

Muziki

Music Video | Audio Music: Pamsam – Asante

Bwana Yesu asifiwe! leo kwa utukufu wa Mungu nimekuwekea video na wimbo uitwao Asante kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili jijini Dar es salaam anayefahamika kwa jina la Pamsam, video hii imeongozwa na studio za Faith Music Lab na wimbo ukiwa umetayaarishwa na prodyuza anayefahamika kwa jina la Mr.Forever.

Asante ni wimbo wa pekee uliojaa shukrani na sifa kwa Mungu kwa yale ambayo ametutendea na ataendelea kututendea kwa upendo wake mkuu kupitia Bwana wetu Yesu Kristo ambaye kwa damu yake msalabani sisi tumekombolewa.

Baada ya kuufikiria wema wa Mungu katika maisha yake, mwimbaji Pamsam sasa ameamua kuachia wimbo na video hii ya shukrani mbele za Mungu kwa jina la Asante, naamini utakwenda kubarikiwa utakapoendelea kusikiliza na kutazama video hii kila siku.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakuwa baraka kwenye maisha yako. Karibu!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na huduma ya mialiko wasiliana na mwimbaji Pamsam kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 673 777 715
Facebook: Pamsam
Instagram: @pamsam_official
Youtube: Faith Music Lab
Tovuti: www.faithmusiclab.com

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top