Connect with us

Music Audio: Paul Shole – Safari

Muziki

Music Audio: Paul Shole – Safari

Shalom mwana wa Mungu! leo kwa mara ya kwanza nimekuletea wimbo mzuri na wenye kubariki uitwao Safari kutoka kwa mwimbji mpya wa nyimbo za Injili kutoka jijini Mwanza anayefahamika kwa jina la Paul Shole, wimbo huu umefanyika ndani ya studio za AB Records chini ya mikono ya prodyuza Elia.

Akizungumzia kuhusu wimbo huu na gospomedia.com mtumishi wa Mungu Paul Shole alikuwa na haya ya kusema:

”Wimbo huu ni wimbo ambao unamkumbusha mwana wa Mungu kutojisahau alikotoka na hapo alipo anafanya nini katika kufanya kazi ya Mungu na kuweka alama yake katika kazi ya Mungu kwamba alipokuwa hapa Duniani alifanya kazi ya Mungu katika kiwango gani na ameweka alama gani katika kazi ya Mungu mbali na maisha ya kila siku ya kimwili hapa duniani.” – Alisema Paul Shole

Nina imani kwamba wimbo huu utakubariki hivyo kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao ujumbe wake utakwenda kuweka jambo jema ndani ya moyo wako na kutambua kusudi lililo ndani yako katika kufanya kazi ya Mungu ikiwa bado upo hai.. Karibu ubarikiwe!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi au mialiko ya huduma wasiliana na muimbaji Paul Shole kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 752 764 360
Facebook: Paulo shole
Instagram: @pauloshole
YouTube: Paulo Shole
Twitter: @pauloshole

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top