Audio

Music Audio: Mic Paul Feat Pendo Christopher – Ukilitenda Neno

Kutoka jijini Dar es salaam, tovuti yako pendwa ya gospomedia.com leo inautambulisha kwako wimbo mpya uitwao Ukilitenda Neno kutoka kwa muimbaji mpya wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mic Paul akiwa amemshirikisha mwanadada Pendo Christopher wimbo ukiwa umetayaarishwa ndani ya studio za Enzi Records kutoka jijini Dar es salaam.

gospomedia.com inakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu wa Ukilitenda Neno kutoka kwa mumbaji Mic Paul na hakika utabarikiwa.

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mic Paul kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 058 005
Facebook: Paul Michael
Instagram: @micpoul04

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Download Music Audio: New Jerusalem Feat Neema Busee - Mary Did You Know

Next post

Music Audio: Victor Joseph - Acha Nikuimbie