Connect with us

Music Audio: Haggai Elisha – Nakuhitaji

Muziki

Music Audio: Haggai Elisha – Nakuhitaji

Kutoka jijini Arusha, leo kwa utukufu wa Mungu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo mzuri na wenye baraka uitwao Nakuhitaji kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Haggai Elisha, wimbo huu umeandaliwa ndani ya studio za Aflob chini ya mikono ya prodyuza Alex Lobulu.

Nakuhitaji ni wimbo wa sifa unaoeleza hisia za mwana wa Mungu mwenye kiu ya uhitaji wa kuwa karibu na Bwana Yesu Kristo katika maisha yake, na hivyo ndivyo mwimbaji Haggai Elisha alivyowasilisha ujumbe wa Mungu kupitia sauti yake iliyobarikiwa na kutukumbusha juu asili ya uhai wetu kuwa ni Mungu Baba, Hivyo hakuna chochote chenye nguvu zaidi yake kitakachoweza kututengeanisha na upendo wake maana yeye ndiyo chanzo cha chemichemi ya uzima wetu.

Ni hakika utabarikiwa kupitia wimbo huu. Karibu ufurahie na uinuliwe.

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko wasiliana na mwimbaji Haggai Elisha kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 689 434 864
Facebook: Haggai Elisha
Instagram: @haggaielisha
Twitter: @haggaielisha
Youtube: Haggai Elisha

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

GUARDIAN ANGEL - NI TABIBU_audio

Muziki

AUDIO | GUARDIAN ANGEL – NI TABIBU

By September 22, 2021

TRENDING

To Top