Connect with us

Music Audio: Erasto C. Kabalo – I will sing

Muziki

Music Audio: Erasto C. Kabalo – I will sing

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu anayefahamika kwa jina la Erasto Clavery Kabalo kutoka jijini Mwanza, leo ametuletea wimbo mzuri na wenye baraka nyingi uitwao ”I will sing”(Nitaimba), muziki huu umetayaarishwa na prodyuza Joshua Ndaki na music director ni Peter Muhumuza kutoka ndani ya studio za Canaan Pro.

”Kuna mengi aliyoyafanya Bwana katika maisha yangu, nikiangalia aliponitoa na nilipo sasa hakika ninauona Upendo wake, Neema na Rehema zake nyingi katika maisha yangu. ndio maana niliamua kuandika huu wimbo na kuuimba kwa lugha ya kingereza na kiganda.

I WILL SING (NITAIMBA) ni Ibada (direct devotion) kwa Mungu wangu. Ni wimbo wa kuabudu, kumsifu na kumtukuza Mungu kwa unyeyekevu mkubwa. Wimbo huu unamweleza Mungu juu ya Upendo wake na Rehema / Neema zake kwangu, ambazo ndio chanzo cha Uhai, Furaha, Amani na hata mafanikio katika maisha yangu.

Ninaamini kupitia wimbo huu wa taratibu, wenye “African touch” utakubariki, na ukitafakari yale mambo Mungu amefanya katika maisha yako, Hakika hautabaki kama ulivyo (YOU WILL NEVER REMAIN THE SAME) Kuna jambo Mungu anaenda kulifanya katika maisha yako, Imba pamoja nami, I WILL SING.” – Erasto Kabalo.

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu ambao kwa kwa hakika utakwenda kubadilisha maisha yako kila siku unapoendelea kusikiliza. Karibu ubarikiwe!!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Erasto Kabalo kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 688 844 784, +255 763 978 806, +256 788 990 909
Instagram: @honkabalo
Email: erastoclavery@gmail.com
Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

NAWAPENDA - ZABRON SINGERS

Muziki

VIDEO | NAWAPENDA – ZABRON SINGERS

By October 11, 2021

TRENDING

To Top