Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Audio: Musa Lufuke Feat. Pascal Cassian – Yesu Mbele

Audio

Audio: Musa Lufuke Feat. Pascal Cassian – Yesu Mbele

Musa Lufuke Feat. Pascal Cassian - Yesu Mbele

Kutoka mjini Makambako mkoani Njombe kwa mara ya kwanza leo tunamtambulisha kwako mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Musa Lufuke na huu ni wimbo wake mpya na wa kwanza kuachia unaoitwa Yesu Mbele akiwa amemshirikisha Pascal Cassian.

Yesu Mbele ni wimbo unaobeba jina la albam yake ya kwanza yenye mkusanyiko wa nyimbo sita katika mfumo wa Audio CD ambayo kwasasa imeshaingia sokoni akiisambaza mwenyewe.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu tukiamini kuwa utakubariki, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na Musa Lufuke kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 769 311 358
Facebook: Musa Lufuke
Instagram: @musalufuke
Youtube: Musa Lufuke_

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 5 ON GOSPOMEDIA.COM

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top