Habari

Mtazame Mwimbaji Jeniffer Sitta alivyohudumu katika mkesha wa usiku wa Amani

Mtazame Mwimbaji Jeniffer Sitta alivyohudumu katika mkesha wa usiku was Amani uliondaliwa na Habari Maalum FM Arusha tarehe 19.02.2015 tupe maoni yako kisha share na wengine. Barikiwa sana!!

Like Page yetu ya facebook >>>> GospoMedia kupokea habari zetu kilasiku na kama wewe ni mwanamuziki wa nyimbo za injili na unahitaji kupromote wimbo wako, album yako, video yako, Tangazo lako au habari kupitia blog ya gospomedia.com wasiliana nasi kupitia whatsapp +255755038159 au tupigie +255658293696

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

DOWNLOAD MUSIC AUDIO: RIPOTI YA BWANA - ENOCK MWETA

RINGTONE
Next post

DOWNLOAD MUSIC VIDEO: TENDA WEMA - RINGTONE FEAT CHRISTINA SHUSHO