Connect with us

Video: Mr. Seed – Simama

Mr. Seed - Simama

Muziki

Video: Mr. Seed – Simama

Mr. Seed - Simama

Kwa mara nyingine tena leo tumekusogezea video ya wimbo mpya uitwao Simama kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Kenya maarufu kama Mr Seed.

Video hii imeongozwa na director Twister Black, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Starborn empire chini ya mikono ya prodyuza Alexis.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Social Media:
Facebook: Mr Seed
Instagram: @mrseedofficial
Youtube: MrSeedOfficial Music

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

TRENDING

To Top