Video: Mr. Prince Eke - Your Grace - Gospo Media
Connect with us

Video: Mr. Prince Eke – Your Grace

Video

Video: Mr. Prince Eke – Your Grace

Muigizaji maarufu kutoka nchini Nigeria Prince Oluebube Eke maarufu kama Prince Eke ameachia video ya wimbo wake mpya unaoitwa Your Grace.

Maneno yaliyotumika katika wimbo huu ni yenye nguvu yakieleza juu ya ukamilifu na Utukufu wa Mungu, Hii ni zawadi yenye nguvu kwa wanadamu, Tunamshukuru, Mungu awe Utukufu, wimbo huu utakupa baraka.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii njema ambayo ni hakika itakubariki amen.

Social Media:
Instagram: @realpronceeke
Twitter: @realpronceeke
YouTube: Mr Prince Eke

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

To Top