Audio

Audio: Mr. Mike – Milele

Kutoka kwenye lebo ya Revolution Entertainment iliyopo mjini Morogoro leo nimekusogezea wimbo mzuri kutoka kwa mwimbaji anayefahamika kwa jina la Mr.Mike, muziki ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Mo Shila akishirikiana na Yogo Beats.

”Wimbo unaelezea mtu aliyetumika sana katika mambo ya dunia na kufanya kila anachoweza kujipatia kile anachopenda, lakini alikua anapotea lakini kama nilivyoeleza katika ubeti wa pili mtu huyo alivyopata maisha mapya kwa Yesu Kristo ambaye alimpa furaha na amani, na kukiri kuwa milele ataendelea kuwa na yeye kwa mana ndipo furaha yake ilipo.”

Kwa moyo mkunjufu nakukaribisha kusikiliza na kupakua wimbo huu, ambao utakupa ujumbe wa kujifunza na kukubadilisha, Barikiwa!

 

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya huduma wasiliana na mwimbaji Mr.Mike kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 717 589 151
Facebook: Mr mike Tz
Instagram: @mr_mike_tz

Facebook: Revolution Entertainmenttz
Instagram: @revolutionenttz

Like us on facebook >> GOSPO MEDIA  Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Angel Benard - Utukumbuke

Next post

Video | Audio: Nancy njule - Amenitoa Mbali