Audio: Mr. Johnson - Mimi ni Nani - Gospo Media
Connect with us

Audio: Mr. Johnson – Mimi ni Nani

Audio

Audio: Mr. Johnson – Mimi ni Nani

Baada ya kufanya vizuri mwaka 2018 mwimbaji anayefahamika kwa jina la Mr. Johnson kutoka mjini Tabkwa mara ya kwanza katika mwaka 2019 ameachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mimi ni Nani, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Estino One.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu na hakika utaweka jambo jipya ndani yako, Amen.

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mr.Johnson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 786 102 393
Facebook: Jay Winner
Instagram: @mrjohnson_official
Youtube: MrJohnson

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top