Audio: Mr.Johnson-Huwezi - Gospo Media
Connect with us

Audio: Mr.Johnson-Huwezi

Audio

Audio: Mr.Johnson-Huwezi

Kutoka mjini Tabora kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji mpya kutoka katika huduma ya muziki wa Injili Tanzania huyu si mwingine bali ni Mr.Johnson na huu ni wimbo wake mpya uitwao Huwezi, Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za SB Music chini ya mikono ya prodyuza Estino One.

“Wimbo huu nimelenga sana katika jamii ya watu, mara nyingi jamii za watu wengi zimekuwa zikishindwa kufanikisha mambo yao hata kutofika kwenye malengo na kutimiza ndoto zao kwasababu ya maneno ya watu ndo mana kichwa cha wimbo huu HUWEZI…

Pia kitu kingine nilichogusia na kusisitiza ni kuhusu kumuomba Mungu kwa maana huwezi kufanikisha mambo yako au changamoto zinazokukabili kwasababu ya dunia ni mengi na yanakatisha tamaa ila tukimuweka Mungu mbele yote yanawezekana.” – alisema Mr. Johnson

Huu ni wimbo ambao utakugusa na kukuinua kwa viwango vya juu zaidi kila utakapokuwa unasikiliza, Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza, Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mr.Johnson kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 786 102 393
Facebook: Jay Winner
Instagram: @official_jaywinner
Email: jaywinner16@gmail.com
Youtube: MrJohnson

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top