Audio: Morris Makafui – Edzebubu - Gospo Media
Connect with us

Audio: Morris Makafui – Edzebubu

Audio

Audio: Morris Makafui – Edzebubu

Kutoka nchini Ghana leo tumekusogezea wimbo mzuri uitwao Edzebubu(He is Worthy of Honour) kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Morris Makafui.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni hakika utakubariki, Amen.

Social Media:
Facebook: Morris Makafui
Instagram: @morrismakafui
Twitter: @morrismakafui

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top