Connect with us

Audio: Mojisola – Anyone

Audio

Audio: Mojisola – Anyone

Kutoka nchini Uingereza leo tumekusogezea wimbo uitwao Anyone kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini humo anayefahamika kwa jina la Mojisola.

“Tunanukuu maandiko mengi kama Wakristo lakini Mungu anatukaribisha kuchukua kile tunachokiri kweli neno kwa neno. Anatuomba sisi kusahau yaliyopita na kufungua mioyo yetu kupokea mambo yajayo. 2 Wakorintho 5:17
Hata imekuwa, mtu akiwa ndani ya Kristo amekuwa kiumbe kipya; ya kale yamepita, tazama! Yamekuwa mapya.” – alisema Mojisola.” – alisema Mojisola

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu mzuri tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

 

Social Media Connect:
Facebook: @mojisolamusik
Twitter: @officialmojisolamusiq
Instagram: @officialmojisolamusiq

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top