Videos

Video | Audio: Moji Short Babaa, Gurdian Angel, DK Kwenye Beat – Hajawahi Niangusha

Kutoka jijini Nairobi, leo nimekusogezea video nzuri iitwayo ”Hajawahi Niangusha” kutoka kwa waimbaji watatu mahiri wanaofanya vizuri kwasasa katika kiwanda cha muziki wa Injili nchini Kenya akiwemo Moji Short Babaa, Gurdian Angel na DK Kwenye Beat.

Hajawahi Niangusha ni wimbo mzuri sana wenye maneno ya kukuimarisha, kutia moyo na kuhimiza kumtukuza MUNGU, Video hii imeongozwa na Bwoy P na muziki ukiwa umetayaarishwa na prodyuza mahiri anayefahamika kwa jina la Teddy B chini ya Label ya Signature Scope.

Ni hakika utabarikiwa kupitia video hii na wimbo huu ambao nin imani utakuinua na kukufanya umsifu Mungu kwa kiwango cha juu kabisa, Ameen!

Download Audio

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio: Joel Masingisa - Wastahili (You Deserve)

Next post

Video | Audio: Masterpiece - Chini ya Mwamba