Connect with us

Video | Audio: Mnene Makweta – Haikatai

Audio

Video | Audio: Mnene Makweta – Haikatai

Baada ya wiki chache zilizopita kuachia video ya wimbo uitwao Kwani Shingapi? Kwa mara nyingine tena mwimbaji wa nyimbo za Injili kwa mtindo wa HipHop Mnene Makweta ameachia tena video yake mpya iitwayo Haikatai, Video hii imeongozwa na director Nezar kutoka studio za Kalmin & Khole.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii tukiamini kuwa utabarikiwa, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na Rapa Mnene Makweta kupitia:

Simu/WhatsApp: +255 682 667 151
Facebook: Mnene Makweta
Instagram: @mnenemakweta
Youtube: Reinhard Makweta

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top