Habari

Mkesha Wa Maombi Na Maombezi FPCT Chamwino Dodoma

Kanisa la Fpct chamwino Dodoma mjini linakukaribisha wewe mkazi wa Dodoma kwenye mkesha Mkubwa wa maombi, maombezi, sifa na kuabudu utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii ijumaa ya tar 28 ya mwezi huu wa nne

Mkesha utaanza saa 3 kamili usiku ambapo FPCT Praise Team wataongoza sifa na kuabudu huku waimbaji wengine kama Bro Elly, Rhoda Mahewa , Enock Meets ,Vision Gospel Singers na wengine wengi watahudumu katika mkesha huo.

Kanisa la FPCT Chamwino lipo karibu na city secondary mjini Dodoma watu wote mnakaribishwa walete wagonjwa na wenye shida mbalimbali wataombewa.

Like Page yetu ya facebook > GOSPOMEDIA.COM instagram: @gospomedia

Advertisements
Previous post

Sikiliza & Download Gospel Music Audio: Stanley Qamara - Kilicho Bora

Next post

Witness Mbise Kuzindua Nimegusa Vazi,May 14 CAG Ubungo Maziwa.