Video

Video | Audio: Mireille Basirwa – Holy Adonai

Kutoka jijini Nairobi leo nimekusogezea kwako video ya wimbo mpya wa kuabudu uitwao Holy Adonai kutoka kwa mwimbaji mahiri wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mireille Basirwa video ya wimbo huu imeongozwa na studio za Smart Effects na wimbo ukiwa umetayaarishwa na mikono ya prodyuza Jow B.

Kwa moyo wa unyenyekevu nakukaribisha kutazama video hii na kupakua wimbo huu ambao ni hakika utakubariki sana siku ya leo. Ameen!!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mwimbaji Mireille Basirwa wasiliana naye kupitia
Facebook: Mireille Basirwa
Instagram: @mireillebasirwa
YouTube: MireilleBasirwaOfficial

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Advertisements
Previous post

Audio: Ese-Osa - Believe

Next post

Video | Audio: Yz Manamba - Ameniona