Music

Audio: Michael Jefe – My Season

Kutoka kwa mtumishi wa Mungu Michael Jefe kutoka nchini Nigeria ameachia wimbo wake mzuri uitwao ”My Season” ukiwa umetayaarishwa na prodyuza anayefanya vizuri kwasasa katika kiwanda cha muziki nchini humo akifahamika kwa jina la Spiritual Beatz kutoka lebo ya Loveworld Music and Arts Ministry.

My Season ni wimbo unaokupa nguvu mpya katika mwaka huu 2018 ili uweze kuishi kwa kuamini ndani Yesu Kristo na kumuomba akupe uwezo wa kufikia ndoto zako. Ameen!

Nina imani utabarikiwa na kuinuliwa baada ya kusikiliza na kupakua wimbo huu. Ameen!

 

Download Audio

Wasiliana na Michal Jefe kupitia:
Facebook: Michael Jefe

Like facebook page >> GOSPOMEDIA  Follow instagram page >> @gospomedia

Lads

Lads

Naitwa Ladslaus Milanzi, mwanzilishi na msimamizi wa tovuti hii ya habari za kikristo, nyimbo na video za muziki wa Injili, Asante kwa kutembelea tovuti hii nikiamini kuwa umebarikiwa na kufurahia na vyote ambavyo umevipata kupitia tovuti hii ikiwa ni moja ya chombo kilichobeba kusudi la kuieneza Injili na kuihudumia jamii kupitia habari na burudani. Mungu Ibariki Gospo Media, Mungu Ibariki Tanzania.
Wasiliana nami kupitia simu/whatsApp: +255 755 038 159.

Previous post

Audio: Stanflux - My Body

Next post

Video | Audio: Gbenga Oke Feat. Onos – Mighty One God