Advertisements
Connect with us

Video | Audio: Mic Paul – Sema na Moyo

Video

Video | Audio: Mic Paul – Sema na Moyo

Baada ya kimya cha muda wa takribani miezi nane toka alipoachia wimbo wake wa kwanza Juni 2017 uitwao “Ukilitenda Neno”. Kwa mara nyingine tena katika mwaka 2018 mwimbaji mpya katika kiwanda cha muziki wa Injili anayefahamika kwa jina la Mic Paul ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Sema na Moyo”. Video hii imeongozwa na director Debro kutoka studio za Eagle View Pro na muziki ukiwa umetayarishwa ndani ya studio za Enzi Records chini ya mikono ya prodyuza Amzy.

“Katika kitabu cha Mathayo 7:13-14 imeandikwa njia iendayo upotevuni ni pana nao wapitao huko ni wengi, lakini njia iendayo uzimani ni nyembamba nayo imesongwa, Maana ya maneno haya ni hii hapa, Moyo wa mwanadamu una chaguzi mbili kuifuata njia pana ya upotevuni au kuifuata njia nyembamba na iliyosongwa kwenda uzimani, Moyo wako ukiukabidhi Duniani na mambo yake, utakua umechagua njia pana, na hakika utapotea, maana Dunia ina mengi ya kuvutia moyo na wengi wameyachagua na kuyafata na wakapotea, lakini Moyo wako ukiamua kumkabidhi Yesu hakika pamoja na kusongwa utaokolewa, Hivyo ndugu muombe Mungu aseme na Moyo wako, mpe Moyo wako Bwana Yesu utaokolewa na hio ndio njia nyembamba iendayo uzimani.” – Mic Paul

Nina imani kuwa kupitia video na wimbo huu utapokea ujumbe wa Mungu kupitia mtumishi Mic Paul na hakika utakwenda kubadilisha maisha yako kuanzia sasa na hata milele, Bwana Yesu asifiwe!

[easy_media_download url=”https://gospomedia.com/wp-content/uploads/2018/04/Mic-Paul-Sema-na-Moyo.mp3″ text=”Download Audio” force_dl=”1″]

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Mic Paul kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 764 058 005
Facebook: Paul Michael
Instagram: @micpoul04
Youtube: Mic Paul

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Advertisements
Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Video

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP TRENDING

Shad B - Mbalii

Audio

Audio: Shad-B – Mbalii

By April 24, 2019

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,282 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili kila siku kutoka ndani na nje ya Afrika.

To Top