Maarifa

Mfahamu Mwanzilishi Wa WhatsApp Brian Acton.

Mwaka 2009 katikati, Brian Acton alikuwa injinia wa program na hakuna aliyetaka kumuajiri. Pamoja na uzoefu wake katika kampuni za Yahoo na Apple Computer, Brian Acton alikataliwa na makampuni makubwa mawili yanayopanda kwa kasi kila siku ambayo ya kwanza ni Facebook na ya pili ni Twitter.

Brian Acton WhatsApp Co-Founder (Mgunduzi wa programu ya WhatsApp)

Brian Acton WhatsApp Co-Founder (Mgunduzi wa programu ya WhatsApp)

Baada ya kukosa kampuni itakayo mwajiri Brian Acton akajiunga na kijana mwingine wa Yahoo, Jan Koum na kutengeneza programu ambayo ni ya jumbe pekee, lakini inatumika ulimwenguni mwote. Huyu si mwingine bali ndiye Brian Acton, ambaye ni mgunduzi wa program ya WhatsApp. WhatsApp ilikuja kumilikiwa  na Facebook mwaka 2014 kwa kwa takribani dola bilioni 19 za kimarekani.

“Usiogope unapokosa nafasi ya kuonesha kuwa unaweza kwakuwa unaweza, zaidi endelea kufanya uwezalo, kile kitu alichoweka Mungu cha pekee moyoni wako kitafikia wakati wake usikate tamaa.”

Advertisements
Previous post

VIDEO: MCHUNGAJI GEORDAVIE AELEZEA JINSI ALIVYOMTABIRI MAGUFULI KUWA RAIS.

Next post

DOWNLOAD VIDEO: UMEINULIWA-PASTOR FARAJA JOSEPHAT