Connect with us

Audio: Mex Worships – SI YA

Audio

Audio: Mex Worships – SI YA

Kutoka nchini Nigeria leo tumekusogezea wimbo mpya wa sifa uitwao SIYA kutoka kwa mwimbaji wa nyimbo za Injili anayefahamika kwa jina la Mex Worships.

Muziki huu umetayaarishwa na kurekodiwa ndani ya studio za Afrobank Music chini ya mikono ya prodyuza AJ.

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kusikiliza wimbo huu ambao ni imani yetu kuwa utakubariki na kukugusa kwa namna ya kipekee, Amen.

Kwa watumiaji wa tovuti bonyeza hapa chini:

Download Audio

Kwa watumiaji wa App bonyeza hapa chini:
Download Audio

Social Media:
Facebook: official_mexwor
Instagram: @official_mexwor
Twitter: @official_mexwor

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

To Top