Advertisements
Connect with us

Gospo Media

Video | Audio: Meshack Kapula Feat. Mutente Jo – Jana Historia

Audio

Video | Audio: Meshack Kapula Feat. Mutente Jo – Jana Historia

Kutoka mjini Mtwara kwa mara ya kwanza tunamtambulisha kwako mwimbaji Meshack Kapula na hii ni video ya wimbo wake mpya uitwao Jana Historia akiwa amemshirikisha mwimbaji Mutente Jo.

Video hii imeongozwa na director Hobo, Muziki ukiwa umetayaarishwa na kurekodiwa chini ya mikono ya prodyuza Martine.

“JANA HISTORIA ni wimbo uliobeba uhalisia wa maisha ya mtu aliyepitia mambo mengi magumu na changamoto nyingi sana katika maisha yake, Amevuka mikasa mingi pengine hata wengine aliokuwa nao hawajavuka.

Baada ya kutafakari yote haya anajikuta ana mzigo wa kumshukuru Mungu maana amegundua lazima kuna kusudi kuu la Mungu alilolibeba ndani yake ambalo lazima alitimize kwakua Jana ilikuwa ni Historia, Leo naishi Bwana kesho ni kwa Neema, Unipe Bwana na kesho yangu isiwe ya hasara tena kama Jana.” – alisema Meshack Kapula

Kwa moyo mkunjufu tunakukaribisha kutazama video hii na hakika utabarikiwa kila wakati utakapokuwa unakusikiliza, Barikiwa!

Download Audio

Kwa mawasiliano zaidi na mialiko ya kihuduma wasiliana na mwimbaji Meshack Kapula kupitia:
Simu/WhatsApp: +255 657 347 144
Facebook: Mesha Aguero
Instagram: @meshack_soulguitarist
Twittter: @meshackkapula
Youtube: Meshack Kapula

Like us on facebook >> Gospo Media Follow us on instagram >> @gospomedia

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published.

More in Audio

FEATURED MUSIC

Advertisements

TOP 10 ON GOSPOMEDIA

SUBSCRIBE

Enter your email address to subscribe to this blog and receive notifications of new posts by email.

Join 12,794 other subscribers

Gospomedia.com ni blog ya kikristo inayokuletea nyimbo na video mpya za muziki wa Injili.

To Top